pengine

0

1. Katika sehemu nyingine isiyotajwa wazi.

Kielezi
Mfano wa matumizi Tukose nafasi hapa, tutatafuta pengine.

2. Kwa uwezekano usio na uhakika.

Kielezi
Mfano wa matumizi Pengine mvua itanyesha.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →