pambwa

0

1. Zongwa au funikwa na kitu kwa wingi.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mlima ulipambwa na mawingu.

2. Rembezwa kwa mapambo au nguo nzuri.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mgeni wa heshima alipambwa kwa maua.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →