okapi

Mnyama mkubwa wa porini mwenye shingo fupi, miguu mirefu yenye mistari meupe na meusi, na mwili unaofanana kwa umbile na twiga, anayepatikana katika misitu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mnyama wa porini mwenye umbo la twiga na miguu yenye mistari, hupatikana Afrika ya Kati.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kifaransa (okapi), limetokana na jina la wenyeji wa Kongo.