Maana 1
Kitu au jambo ambalo hupatikana kwa shida sana au si la kawaida.
Mfano wa matumizi: Vyakula vya aina hii ni nadra kupatikana vijijini.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.