1. Kwa kiwango kikubwa au kinachozidi kawaida.
Kielezi
Mfano wa matumizi
Mvua ilinyesha sana mjini Mbeya.
2. Fua kitu kwa kutumia madini yaliyopashwa moto.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mhunzi alisana jembe jipya.
1. Very much; to a great degree.
Kielezi
Example
It rained heavily in Mbeya.
2. Forge; shape an object from heated metal.
Kitenzi
Example
The blacksmith forged a new hoe.
1. Beaucoup; à un degré élevé.
Kielezi
Exemple
Il a beaucoup plu à Mbeya.
2. Forger; façonner un objet dans du métal chauffé.
Kitenzi
Exemple
Le forgeron a forgé une houe neuve.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi