1. Vuta majimaji kwa mdomo.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Ndama alinyonya maziwa kutoka kwa mama yake.
2. Faidi kazi ya mwingine bila kuchangia juhudi zako.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Waajiri wasiwanyonye wafanyakazi.
1. Suck; draw liquid into the mouth.
Kitenzi
Example
The calf suckled milk from its mother.
2. Exploit; benefit from another person's labour without contributing.
Kitenzi
Example
Employers should not exploit workers.
1. Téter ou aspirer; attirer un liquide dans la bouche.
Kitenzi
Exemple
Le veau a tété le lait de sa mère.
2. Exploiter; profiter du travail d'autrui sans y contribuer.
Kitenzi
Exemple
Les employeurs ne doivent pas exploiter les travailleurs.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi