Maana 1
Yenye unyevu; iliyo na unyevunyevu; isiyo kavu.
Mfano wa matumizi: Nguo hizi bado ni nyevu, zisitumiwe hadi zikauke.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.