nong'oneza

Kusema au kutoa habari kwa sauti ya chini sana ili wasiosudiwa wasisikie; kuzungumza kwa siri au kwa sauti ya chini kati ya watu wawili au zaidi.

Kusema kwa sauti ya chini au kwa siri kati ya watu wachache.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
kunong'ona

Vinyume

1 jumla
kutangaza

Asili ya neno

Kiswahili