mvao

0

1. Namna mtu anavyovaa nguo.

Nomino
Mfano wa matumizi Mvao wa Chantal ulipendeza.

2. Mara moja ya kutumia vazi lililonunuliwa.

Nomino
Mfano wa matumizi Huu ni mvao wa pili wa shati hili.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →