msuluhivu

0

1. Mtu mwenye maarifa ya mambo mengi.

Nomino
Mfano wa matumizi Msuluhivu alijibu maswali mbalimbali.

2. Mtu mwenye kimbelembele anayejifanya anajua kila kitu.

Nomino
Mfano wa matumizi Msuluhivu aliingilia kila mazungumzo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →