mbuku

Ubao mdogo wa kuandikia, hasa unaotumiwa na wanafunzi kujifunza kuandika kabla ya kutumia daftari.

Ubao mdogo wa kuandikia, aghalabu hutumiwa na wanafunzi shuleni.

Maana

2 jumla