1. Mabaki ya mbegu za mafuta baada ya kuchemshwa na kukamuliwa.
Nomino2. Masazo ya kitu chenye majimaji kilichokamuliwa.
Nomino3. Mchuzi uliopikwa ukawa mzito.
Nomino1. Oilseed residue; remains after seeds are heated and pressed for oil.
Nomino2. Pressed residue; solids remaining after extracting liquid.
Nomino3. Thick sauce; a dense, concentrated cooking sauce.
Nomino1. Résidu de graines oléagineuses; restes après chauffage et pressage pour extraire l'huile.
Nomino2. Résidu de pressage; matières solides restant après extraction d'un liquide.
Nomino3. Sauce épaisse; préparation liquide dense et concentrée.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi