lengeta

Kitambaa kinachofungwa kichwani ili kupunguza au kuzuia maumivu yanayosababishwa na mzigo unaobebwa kichwani.

Lengeta ni kitambaa maalumu cha kufunga kichwani wakati wa kubeba mzigo.

Maana

2 jumla

Asili ya neno

Kiswahili