Maana 1
Kuombwa au kuagizwa kufanya jambo fulani na mtu au mamlaka.
Mfano wa matumizi: Wanafunzi wametakiwa kufika shuleni mapema kesho.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.