kung'uta

0

1. Toa vumbi au taka kwa kukipigapiga kitu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alikung'uta zulia nje.

2. Peperusha nguo kwa nguvu ili maji yatoke.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alikung'uta shati lililolowa.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →