Maana 1
Kusababisha jambo, shughuli, au hali iendelee bila kukoma au kusimama.
Mfano wa matumizi: Serikali imeamua kuendeleza mradi wa maji vijijini.
Kusababisha jambo, shughuli, au hali iendelee bila kukoma au kusimama.
Mfano wa matumizi: Serikali imeamua kuendeleza mradi wa maji vijijini.
Kukuza au kuboresha kitu ili kifikie kiwango cha juu zaidi au kiwe bora zaidi.
Mfano wa matumizi: Ni muhimu kuendeleza vipaji vya watoto tangu wakiwa wadogo.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.