Maana 1
Katika au kuelekea maeneo ya mashambani, mbali na miji mikubwa.
Mfano wa matumizi: Alisafiri kwenda vijijini kutembelea wazazi wake.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.