Sehemu inayotambuliwa katika uchanganuzi wa muundo wa lugha.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mwalimu alieleza kuwa mofimu ni kipashio cha kimofolojia.
Linguistic unit; an element identified at a level of language analysis.
Nomino
Example
The teacher explained that a morpheme is a morphological unit.
Unité linguistique; élément reconnu à un niveau d'analyse de la langue.
Nomino
Exemple
L'enseignant a expliqué qu'un morphème est une unité morphologique.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi