kipandikizi

Mmea mdogo au sehemu ya mmea inayopandwa ili kuchochea ukuaji wa mmea mwingine mpya.

Sehemu ya mmea au mche unaopandwa ili kupata mmea mwingine.

Maana

2 jumla

Visawe

2 jumla
chipukizimche

Asili ya neno

kipandikiza < pandikiza (kitenzi)