kibawanta

Mtu mvivu kupita kiasi na asiye na hamasa ya kufanya kazi au shughuli yoyote.

Kibawanta ni mtu mvivu sana na asiye na juhudi.

Maana

2 jumla

Visawe

2 jumla
goigoilegelege

Asili ya neno

Kiswahili; asili ya mtaa