jikokota

0

1. Tembea kwa shida kwa uchovu, ugonjwa au uzee.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Baada ya safari ndefu, alijikokota hadi nyumbani.

2. Burura mwili wako ukisonga.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alijikokota sakafuni hadi mlangoni.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →