jifanya

0

1. Jionyeshe kuwa na nafasi au hali isiyo ya kweli.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Alijifanya amelala ili asisumbuliwe.

2. Jiweke katika hadhi au hali usiyoistahili.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Anajifanya mkuu wa kila jambo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →