jasho

0

1. Majimaji yanayotoka ngozi ya mwili katika joto au juhudi.

Nomino
Mfano wa matumizi Wachezaji walitokwa na jasho baada ya mazoezi.

2. Joto la hewa linalomfanya mtu ahisi fukuto.

Nomino
Mfano wa matumizi Leo kuna jasho jingi ndani ya chumba.

3. Mapato yanayopatikana kwa juhudi za kazi.

Nomino
Mfano wa matumizi Alijenga nyumba kwa jasho lake.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →