Chachamuliwa mate na kitu kichachu mdomoni.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Mate yaligwaduka alipotafuna embe bichi.
Pucker and salivate; to react to a sour taste in the mouth.
Kitenzi
Example
Her mouth watered and puckered as she chewed the unripe mango.
Réagir à l’aigre; saliver et se crisper en goûtant une saveur acide.
Kitenzi
Exemple
Sa bouche s’est crispée et a salivé en mâchant la mangue verte.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi