gundua

0

1. Baini kitu kilichokuwa kimefichika au hakijajulikana.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Watafiti waligundua pango jipya.

2. Buni kitu ambacho hakikuwapo hapo awali.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Fundi aligundua kifaa cha kumwagilia.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →