Soko linalofanyika kwa vipindi vya wiki au mwezi, aghalabu nje.
Nomino
Mfano wa matumizi
Gulio la kijiji hufanyika kila Jumamosi.
Periodic market; an open-air market held weekly or monthly.
Nomino
Example
The village market takes place every Saturday.
Marché périodique; marché de plein air tenu chaque semaine ou chaque mois.
Nomino
Exemple
Le marché du village se tient chaque samedi.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi