1. Pinda miguu kwenye magoti kwa maradhi.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Miguu yake iligotama baada ya kuugua.
2. Pinda mgongo kwa sababu ya uzee.
Kitenzi
Mfano wa matumizi
Babu alikuwa amegotama mgongo.
1. Become bent at the knees; to develop leg bending through illness.
Kitenzi
Example
His legs became bent after the illness.
2. Become stooped; to bend at the back with age.
Kitenzi
Example
Grandfather had become stooped.
1. Avoir les jambes courbées; se déformer aux genoux sous l’effet d’une maladie.
Kitenzi
Exemple
Ses jambes se sont courbées après la maladie.
2. Se voûter; avoir le dos courbé avec l’âge.
Kitenzi
Exemple
Grand-père avait le dos voûté.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi