gooka

0

1. Toa sauti nzito kooni kwa kutapika au kusikia kichefuchefu.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Aligooka baada ya kusikia kichefuchefu.

2. Nazi iliyodondoka yenyewe kwa kuharibika.

Nomino
Mfano wa matumizi Walikusanya magooka chini ya mnazi.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →