glasi

0

1. Nyenzo ngumu ya kioo inayotumiwa kutengeneza vyombo na vitu vingine.

Nomino
Mfano wa matumizi Dirisha lilikuwa na glasi nzito.

2. Bilauri ya kunywea.

Nomino
Mfano wa matumizi Alimpa mgeni glasi ya maji.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →