Majani au mbegu za mgilgilani zinazotumiwa kukoleza chakula.
Nomino
Mfano wa matumizi
Amina alitia gilgilani kwenye mchuzi.
Coriander; leaves or seeds used to flavour food.
Nomino
Example
Amina added coriander to the sauce.
Coriandre; feuilles ou graines utilisées pour aromatiser les aliments.
Nomino
Exemple
Amina a ajouté de la coriandre à la sauce.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi