1. Ukanda wa kiatu unaopita kati ya kidole gumba na vidole vingine.
Nomino2. Sehemu ya mbele ya jahazi au mashua.
Nomino3. Kamba ya kufungia kiatu mguuni.
Nomino1. Sandal thong; a strap passing between the big toe and other toes.
Nomino2. Bow; the forward part of a boat or dhow.
Nomino3. Shoelace; a cord used to fasten a shoe.
Nomino1. Bride de sandale; lanière passant entre le gros orteil et les autres.
Nomino2. Proue; partie avant d’une embarcation ou d’un boutre.
Nomino3. Lacet; cordon servant à attacher une chaussure.
NominoTafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi