Maana 1
Aliye na tabia ya kusamehe sana makosa au madhambi; msamehevu kupita kiasi.
Mfano wa matumizi: Mungu ni ghafuri kwa waja wake wanaotubu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.