gawa

0

1. Tenganisha watu au vitu katika makundi madogo.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Mwalimu aliwagawa wanafunzi katika vikundi.

2. Pasua au tenganisha kitu kimoja kuwa sehemu kadhaa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Aligawa mkate sehemu nne.

3. Sambaza kitu kwa watu kadhaa.

Kitenzi
Mfano wa matumizi Kamati iligawa vitabu.

4. Ndege wa kahawia anayelia kwa kelele usiku.

Nomino
Mfano wa matumizi Gawa alisikika usiku.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →