Maana 1
Wazi au linaloonekana moja kwa moja; lisilo na kificho.
Mfano wa matumizi: Ukweli wa jambo hili ni dhihiri kwa kila mtu.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.