dhahiri

0

1. Kilicho wazi na kinachoeleweka bila kificho.

Kivumishi
Mfano wa matumizi Tofauti kati ya picha hizo ni dhahiri.

2. Kwa wazi bila kuficha.

Kielezi
Mfano wa matumizi Alisema dhahiri kwamba hakukubali mpango huo.
JIFUNZE ZAIDI

Kuwa Mwanagenzi Mahiri

Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.

  • Maana na utafiti wa kina
  • Picha za vidahizo zinapopatikana
  • Methali zinazotaja neno
  • Viungo vya maneno ndani ya maana
  • Chemshabongo bila kikomo na Vinara
  • Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi
Fahamu Mwanagenzi Mahiri →

Vinyume

1 jumla
fichika