bebetua

Kutembea kwa maringo, madaha au kuonyesha uzuri kwa makusudi mbele za watu.

Kutembea kwa kujionyesha au kwa maringo.

Maana

2 jumla

Visawe

1 jumla
jivunia