1. Mwendo au tabia ya kujionesha kwa maringo.
Nomino
Mfano wa matumizi
Katika tamthilia, mhusika alitembea kwa madaha.
2. Mwendo wenye urembo na mpangilio unaopendeza.
Nomino
Mfano wa matumizi
Mchezaji alicheza kwa madaha.
1. Affectation; showy behaviour or mannerisms.
Nomino
Example
In the play, the character walked with affected airs.
2. Graceful movement; an attractive and elegant manner of moving.
Nomino
Example
The dancer moved gracefully.
1. Affectation; comportement ou manières ostentatoires.
Nomino
Exemple
Dans la pièce, le personnage marchait avec des airs affectés.
2. Grâce; manière élégante et agréable de se mouvoir.
Nomino
Exemple
La danseuse évoluait avec grâce.
Tafsiri ya lugha uliyochagua haijapatikana kwa kidahizo hiki. Inaonyeshwa kwa Kiswahili.
JIFUNZE ZAIDI
Kuwa Mwanagenzi Mahiri
Fungua huduma zaidi za kukusaidia kuelewa na kufurahia Kiswahili.
- Maana na utafiti wa kina
- Picha za vidahizo zinapopatikana
- Methali zinazotaja neno
- Viungo vya maneno ndani ya maana
- Chemshabongo bila kikomo na Vinara
- Mandhari ya usiku na ukubwa wa maandishi