Vinjari kwa Herufi

Herufi: T

Vimepatikana vidahizo 870 vinavyoanza na herufi T.

Ukurasa 17 / 18 Jumla 870

Vidahizo

50 kwenye ukurasa huu

tunga

1. Pitisha uzi ndani ya matundu ya vitu. 2. Tengeneza usaha ndani ya kidonda au jipu. 3. Pata mimba baada ya mbegu ya kiume kuungana na yai. 4. ...

tungua

1. Ondoa kitu kilichoangikwa au kinachoning’inia. 2. Angusha kinachoruka kwa kukishambulia.

tunza

1. Angalia na kulinda kitu kisipate madhara. 2. Mpe mtu zawadi kwa kutenda vizuri.

tupa

1. Ondoa kisichohitajika ukipeleke kwenye taka. 2. Mweke mtu au kitu bila kutunzwa. 3. Rusha kitu kutoka ulipo kiende mbali. 4. Zana ya chuma ya...

tupu

1. Bila mavazi mwilini. 2. Sehemu za siri za kutolea mkojo au kinyesi na za uzazi. 3. Isiyo na kitu ndani. 4. Isiyoambatana na kitu kingine.

turufu

1. Karata inayozidi nyingine katika mchezo wa wahedi sitini. 2. Mtu au kitu chenye mamlaka ya mwisho katika jambo.

turuhani

1. Uzito wa chombo kisichokuwa na mzigo. 2. Kiasi kinachopunguzwa katika hesabu. 3. Hadhi ya kutambuliwa na kuheshimiwa.

tusi

1. Mwambie mtu maneno ya kumdhalilisha. 2. Kauli inayomvunjia mtu heshima. 3. Kilili cha kubebea mwili wa marehemu.

tuta

1. Beba mzigo unaolemea kwa uzito. 2. Beba vitu vilivyofungwa bila mpangilio. 3. Pumua haraka huku moyo ukidunda kwa nguvu. 4. Mdudu anayebiring...

tutu

1. Chakula cha kunde zilizochanganywa na mahindi au mtama. 2. Uvimbe mdogo mgumu wenye rangi nyeusi. 3. Ndege wa kijivu anayefanana na njiwa.