kwato
Kifuniko kigumu cha mwisho wa mguu wa mnyama fulani.
Vimepatikana vidahizo 2,174 vinavyoanza na herufi K.
Kifuniko kigumu cha mwisho wa mguu wa mnyama fulani.
1. Pamba uso kwa vipodozi hadi upendeze. 2. Mpige mchezaji na kumfanyia rafu katika kandanda.
1. Kikundi maalumu cha kujifunza na kuimba nyimbo. 2. Uimbaji wa pamoja wa kikundi cha waimbaji.
Ndege mkubwa wa kundi la tai anayekula samaki.
Panda kuelekea sehemu ya juu ya kitu.
Ndege mwenye sehemu ya tumbo ya hudhurungi.
Mmea ulioota mahali ambapo hautakiwi.
Kwa kusema ukweli na kwa uthabiti wa hoja.
Ndege wa maji wa miguu mirefu na mdomo mpana.
Mbegu ya mkweme yenye ganda gumu na kiini laini.
Ndege mdogo anayefanana na mnana.
Mahali mnapoishi au mnapotoka ninyi.
1. Katika eneo au kitu kinachotajwa. 2. Mahali palipo na kitu au hali inayorejelewa.
1. Hamu kubwa ya kutaka jambo. 2. Pigo la vifundo vya vidole vilivyokunjwa. 3. Kelele kali nyembamba ya kuomba msaada. 4. Ndege mdogo wa jamii y...
Ondoka au badili mwelekeo ili usipatwe na jambo.
Pumua kwa shida na kwa kasi.
Sogea chini ukiwa umekalia matako.
Mahali tunapoishi au tunapotoka sisi.
-enye weupe au mwanga.
Sisimizi mdogo sana mwenye rangi nyeusi.
Sauti za kooni zinazotokea kwa mishtuko mifupimifupi isiyo ya hiari.
Tamaa kubwa ya kupata au kufanya jambo.
Dawa chungu ya malaria iliyopatikana katika gome la mkwinini.
Ulafi wa kutamani chakula zaidi ya unachoweza kula.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.