hanzua
1. Ngoma iliyowambwa pande mbili na kubwa kuliko chapuo. 2. Ngoma ya wanaume wa Uswahilini yenye bakora na panga.
Vimepatikana vidahizo 6 vinavyoishia kwa silabi zua.
1. Ngoma iliyowambwa pande mbili na kubwa kuliko chapuo. 2. Ngoma ya wanaume wa Uswahilini yenye bakora na panga.
Vua nguo zote moja baada ya nyingine.
Shusha chombo kutoka ufukweni kiingie majini.
Ondoa kitu bila ruhusa ya mwenyewe.
1. Ondoa utata wa jambo. 2. Eleza jambo ili lifahamike vizuri.
1. Kubuni kauli isiyo ya kweli kuhusu jambo au mtu. 2. Kuanzisha jambo ambalo halikuwapo awali. 3. Kufichua kitu kilichofunikwa au kufichwa.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.