Vinjari kwa Silabi

Silabi: zu

Vimepatikana vidahizo 15 vinavyoishia kwa silabi zu.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 15

Vidahizo

15 kwenye ukurasa huu

kauzu

1. Dagaa wa mito au maziwa waliokaushwa. 2. Mtu asiyeona aibu anapotenda yasiyofaa.

tanzu

1. Sehemu ya mti inayochipuka kutoka kwenye shina au tawi kubwa. 2. Iliyo sehemu ya shirika au kiwanda kingine kikubwa.