Vinjari kwa Silabi

Silabi: zio

Vimepatikana vidahizo 10 vinavyoishia kwa silabi zio.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 10

Vidahizo

10 kwenye ukurasa huu

kizio

1. Nusu ya kitu chenye umbo la duara. 2. Namba inayotawala namna ya kupanga tarakimu katika mfumo wa kuhesabia.

mzio

1. Kujizuia kula kitu kwa kuhofu madhara yake. 2. Mwitikio wa mwili kwa chakula au kitu fulani unaosababisha dalili za kuumwa.

nzio

1. Mtungi mkubwa wa udongo wenye shingo ndefu nyembamba. 2. Chombo cha udongo kinachoitwa mtungi.

singizio

1. Sababu ya uongo ya kujiepusha na jambo. 2. Maneno ya dharau yasiyomstahili anayelengwa.

uzio

1. Mtego wa samaki unaozungushwa kama boma. 2. Kizuizi kinachozunguka shamba au nyumba.