mwanamize
Kaa mdogo mweupe mwenye miguu minene wa pwani.
Vimepatikana vidahizo 3 vinavyoishia kwa silabi ze.
Kaa mdogo mweupe mwenye miguu minene wa pwani.
Ndege mkubwa wa majini mwenye miguu mifupi na mdomo mpana wa kuvulia samaki.
Ala ya nyuzi yenye sehemu ya chini ya duara.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.