Vinjari kwa Silabi

Silabi: yu

Vimepatikana vidahizo 11 vinavyoishia kwa silabi yu.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 11

Vidahizo

11 kwenye ukurasa huu

buyu

1. Tunda la mti wa mbuyu lenye ganda gumu na mbegu zilizozungukwa na ungaunga. 2. Ganda gumu la tunda la mbuyu.

kuyu

1. Kaa mdogo wa pwani anayejulikana kama fuu. 2. Ndege wa porini wa kundi la njiwa anayefanana na tetere. 3. Samaki wa manjano wa maji ya kina an...