Vinjari kwa Silabi

Silabi: yai

Vimepatikana vidahizo 1 vinavyoishia kwa silabi yai.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 1

Vidahizo

1 kwenye ukurasa huu

yai

1. Kitu chenye ganda kinachotagwa na ndege na baadhi ya wanyama wengine. 2. Seli ya uzazi ya kike.