dhiyaa
Dhiki na mateso yanayosababisha unyonge mkubwa.
Vimepatikana vidahizo 9 vinavyoishia kwa silabi yaa.
Dhiki na mateso yanayosababisha unyonge mkubwa.
1. Kunjamana au kunyauka kwa kupungua hali ya awali. 2. Konda na kupungua nguvu.
Uchafu au kitu kinachosababisha kukirihika.
Kaa kimya mahali pamoja bila kufanya shughuli.
Nyauka na kupoteza ulaini au unyevunyevu.
Jina la kuitana mama wa mume na mke wa mwanawe.
Dhoofika au nywea kwa kukosa hali nzuri ya afya.
Uchafu unaoweza kuleta kinyaa.
Kujilaza au kujinyosha ili kupumzika.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.