Vinjari kwa Silabi

Silabi: wi

Vimepatikana vidahizo 38 vinavyoishia kwa silabi wi.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 38

Vidahizo

38 kwenye ukurasa huu

adui

1. Mtu aliye dhidi yako, au jambo lenye madhara unalopambana nalo, kama ugonjwa, njaa au ujinga. 2. Mtu anayeshindana na mwingine katika shughuli ...

duwi

Samaki asiye na magamba, mwenye ngozi ngumu inayochunwa kabla ya kupikwa.

kiluwiluwi

1. Kiumbe katika hatua ya ukuaji kabla ya umbo la utu uzima. 2. Mtoto wa mbu, nzi au chura katika hatua ya mapema ya kukua. 3. Ndege mweusi na mw...

kitawi

1. Tawi lenye ukubwa mdogo. 2. Aina mojawapo ya mmea unaotajwa kuwa gugu. 3. Kifaa kinachotumiwa kufuma.

kiwi

1. Ndege mdogo anayefanana na kitwitwi. 2. Wino mweusi anaoutoa ngisi ili kujificha. 3. Tabia ya kutaka kula kila kitu alicho nacho mtu. 4. Giza...

masumbwi

1. Mchezo wa kushindana kwa kupigana ngumi. 2. Mapigo yanayotolewa kwa mikono iliyokunjwa.

rawi

1. Mtu anayesimulia hadithi au mchezo wa kuigiza. 2. Msimulizi wa matukio katika sinema au televisheni.

tawi

1. Sehemu ya mti inayochipuka na kubeba majani, maua au matunda. 2. Ofisi inayofanya kazi kama sehemu ya shirika kubwa.

uchawi

1. Matendo yanayoaminika kuleta madhara kwa nguvu za siri. 2. Vifaa vinavyohusishwa na kuroga.

ukungwi

Kazi ya kungwi ya kuwapa vijana waliobaleghe mafunzo kuhusu maisha na desturi za jamii.