Vinjari kwa Silabi

Silabi: vua

Vimepatikana vidahizo 5 vinavyoishia kwa silabi vua.

Ukurasa 1 / 1 Jumla 5

Vidahizo

5 kwenye ukurasa huu

chavua

Chembechembe za uzazi za sehemu ya kiume ya maua zinazohusika katika uchavushaji.

tamvua

1. Kiungo cha samaki cha kupata oksijeni iliyoyeyuka majini. 2. Uzi wa kuimarisha mishono ya kofia ya barghashia.