Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi twe.
Samaki wa baharini wa kundi la mkizi.
Bata wa porini mwenye baka jeupe mgongoni.
Tukio baya linaloacha kumbukumbu ya muda mrefu katika jamii.
Kimya bila kusema.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.