betri
1. Kifaa cha kuhifadhi na kutoa umeme unaotumiwa katika gari. 2. Seli au kifaa kidogo cha kutoa umeme kwa vifaa kama tochi, saa au redio.
Vimepatikana vidahizo 4 vinavyoishia kwa silabi tri.
1. Kifaa cha kuhifadhi na kutoa umeme unaotumiwa katika gari. 2. Seli au kifaa kidogo cha kutoa umeme kwa vifaa kama tochi, saa au redio.
1. Sadaka ya Kiislamu inayohusishwa na kumalizika kwa Ramadhani. 2. Zaka ya mfungo inayotolewa kwa nafaka au pesa.
Elimu ya maumbo, pembe na mistari.
Sehemu ya nyuma ya chombo cha majini.
Tumia App ya Kamusi
Tafuta maneno, maana, visawe, methali, na matumizi ya Kiswahili kwa urahisi zaidi kupitia app ya Kamusi ya Mwanagenzi.